Natafuta mchumba

sakwano

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
303
Reaction score
830
Nimekuwa nikiona nyuzi nyingi humu watu wakitafuta wachumba ila hakuna mrejesho wowote kama wanafanikiwa au laa..ngoja na mimi nitafute mchumba humu huwenda ikawa kweli

Sifa zangu:
Sex:male
Age:30
Job:driver
Religion:Islamic
Educational level: ordinary certificate of secn educ
Residence: Dar es salaam.,

Sifa za mchumba:
Marital status:single
Age:24-28
Religion:any

Note:
1.Awe tayri kupima virus vya ukimwi
2. Asiwe na mtoto hata mmoja wala historia ya kutoa mimba
 
Hapo kwenye kutoa mimba utapigwa na kitu kizito.......maana wabongo Wana sifa Yao wale maslay queen ya kuwa na mipango ya amboni SASA jiandae......usije kuitwa kibamia
 
Hakuna kitu kikubwa duniani kama kujipenda mwenyewe. Mchumba wa kazi gani?
 
Asiwe na historia ya kutoa mimba utamjuaje au mtaenda hospitali kupima. Ila uhakika ni kwamba alishatumia P2 labda umpate virgin
 
Kila kheri sisi mapadri tuwaombea
 
Kila kheri sisi mapadri tunawaombea
 
Mleta .ada elezea unamiliki nini kusema tu kazi yako dereva watu watakuaje labda dereva wa bodaboda? Pia elezea kama una kubamia au kimoja tu chali?
Funguka sheikh.
Funguka pisi kali zijitokeze.
 
Wanakuja mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…