Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la kheri Uzi mpya kabisa ngoja wajeMi ni single mom mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe mkristo umri kuanzia 35+ asiwe muhaya Wala mkurya . Awe anajishughulisha...!!ASANTE
Kazi unayo mama!!!Mi ni single mom mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe mkristo umri kuanzia 35+ asiwe muhaya Wala mkurya . Awe anajishughulisha...!!
ASANTE
Vipi Makonde/zaramo/ndengereko/mdigo🏃♀️"Asiwe Muhaya wala mkurya!"
Red Alert!
Mambo mawili au matatu hapa, kwanza inaonyesha uko very desperate yaani hadi kuweka number yako moja kwa moja watu wakufuate inaonyesha ni vipi uko desperate.Mi ni single mom mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe mkristo umri kuanzia 35+ asiwe muhaya Wala mkurya . Awe anajishughulisha...!!
ASANTE
Mzamie hivohivo yaeza kuwa bahati yako !!Tatizo kaweka namba mafisi watajazana ...asingeweka ningejitupia pm au wasemaje toto
Komaa kiume ndugu kabla hawajajaa huko kwa majaliwa!Hahaha nipigie debe basi mtu wangu?
Usiwasikilize mama kuzaa sio ugonjwa wala ubovu....Asante ,kila MTU na machaguzi yake binafsi Ayo ndio machaguzi yangu aijalishi niwe mbovu au mzima
Hebu tupia kapichaa Iyola aone huyo Tall dark guy kwanza!Mwanaume mrefu mweusi na pua ndefu utamkubali?
Niachie mkuuNjoo PM mrembo
Sina la kusema zaidi ya mwaya zaidi nikwambie iyo ndio namba yangu sababu Kuna ambao awatumii jf moja kwa moja zaidi hu Google tu awajajisajili na jf kwaiyo nazani hawatakuw na uwezo wa kuni inbox kwaiyo kuweka namba ni sahihi na hata Sheria imenitaka IvoMambo mawili au matatu hapa, kwanza inaonyesha uko very desperate yaani hadi kuweka number yako moja kwa moja watu wakufuate inaonyesha ni vipi uko desperate. Pili nina wasi wasi kuwa huu ni mtego na hiyo number ni fake au sio yako ni ya mtu mwengine. Ikiwa ni numba ya mtu mwengine ujue umejitia matatizoni, sheria za mitandaoni na privacy haziruhusu utowaji wa namba za watu bila ridhaa zao. Mwisho Mtu uko single na mtoto, uko desperate kutafuta mume halafu unaanza kuweka masharti ya kubagua makabila, huo ni ubaguzi na ukabila ambao watu wanaupinga sana duniani. Badala ya kutafuta mtu atakaekujali, kukuheshimu na kukupenda ambae yuko tayari kuanza maisha na kuchukua jukumu la kumlea mtoto wa mtu mwengine wewe unajali kabila!? Good luck!!!!
Tunaanzia hapa hapaMuwekee kapichaa!!
Mkiyajenga Pm itapendeza zaidi!