Natafuta mchumba

Mi ni single mom mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe mkristo umri kuanzia 35+ asiwe muhaya Wala mkurya . Awe anajishughulisha...!!

ASANTE
Mambo mawili au matatu hapa, kwanza inaonyesha uko very desperate yaani hadi kuweka number yako moja kwa moja watu wakufuate inaonyesha ni vipi uko desperate.

Pili nina wasi wasi kuwa huu ni mtego na hiyo number ni fake au sio yako ni ya mtu mwengine. Ikiwa ni numba ya mtu mwengine ujue umejitia matatizoni, sheria za mitandaoni na privacy haziruhusu utowaji wa namba za watu bila ridhaa zao.

Mwisho Mtu uko single na mtoto, uko desperate kutafuta mume halafu unaanza kuweka masharti ya kubagua makabila, huo ni ubaguzi na ukabila ambao watu wanaupinga sana duniani.

Badala ya kutafuta mtu atakaekujali, kukuheshimu na kukupenda ambae yuko tayari kuanza maisha na kuchukua jukumu la kumlea mtoto wa mtu mwengine wewe unajali kabila!? Good luck!!!!
 
Sina la kusema zaidi ya mwaya zaidi nikwambie iyo ndio namba yangu sababu Kuna ambao awatumii jf moja kwa moja zaidi hu Google tu awajajisajili na jf kwaiyo nazani hawatakuw na uwezo wa kuni inbox kwaiyo kuweka namba ni sahihi na hata Sheria imenitaka Ivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…