Natafuta mchumba

Elimu vipi??
Afu kwenye urefu apo mm n mrefu kias maji ya kunde Sina upara....asa inakuaje🙄
 
Elimu vipi??
Afu kwenye urefu apo mm n mrefu kias maji ya kunde Sina upara....asa inakuaje🙄
Mnapotoa hizi qualifications Mngeambatanisha na tupicha Ingependeza zaidi... ili kumrahisishia murembo Iyola QUIGLEY
 
Kumbe men urefu moderate wenye miili wana bamiahh???[emoji848][emoji848][emoji848][emoji854][emoji854]
Nilikua sijuiiiiiii[emoji6][emoji6][emoji6]
Hahaha huwezi kuwa mfupi ukawa na mashine ndefu itakuwa ni kiema.
Angalia kuanzia miguuu, mikono na viungo vingine.
Size yake haitofautiani na kimo...
Huwezi kuwa mfupi ukawa ba mikono mirefu, vidole virefu nk
 
Elimu vipi??
Afu kwenye urefu apo mm n mrefu kias maji ya kunde Sina upara....asa inakuaje[emoji849]
Elimu schagui mladi anajielewa sipendi wanyoa kiduku au wafuga afrooo
 
Hapana sipendi warefu Sana napenda wafupi wawe na mwili kiasi afu weusi au maji y kunde awe ananyoa upara sio anaefuga nywele au kucha na mandevu
Yaan unajiumbia kabisa?
Astaghafululahi laazhim ngoja waje utuletee mrejesho atapopatikana mtoto mwingine, maana umeshatoa ID za baba wa mtoto wako jinsi alivyo means wajuvi wa mambo washaelewa
 
Hapana sipendi warefu Sana napenda wafupi wawe na mwili kiasi afu weusi au maji y kunde awe ananyoa upara sio anaefuga nywele au kucha na mandevu
Kumbe ndio maana. Tangu nianze kunyoa upara wadada wengi wananichangamkia sana siku hizi! Kumbe ni hobby yenu eeh?
 
Mnapotoa hizi qualifications Mngeambatanisha na tupicha Ingependeza zaidi... ili kumrahisishia murembo Iyola
In this public forum? No way
Pia nmesahau i am a charmer too. L age apo pia inanitoa mchezoni angeanzia 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…