Natafuta Mchumba

Albus3116

Member
Joined
Jul 20, 2021
Posts
6
Reaction score
8
~ Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29.
Jinsia mwanaume
~ Ni muajiriwa Kampuni binafsi.
~ Kwa sasa niko Mwanza kikazi.

~ Natafuta mchumba umri kuanzia 18-27.
~ Kwa aliye tayari anakaribishwa, ila awe serious.
~ Sichaguai dini wala kabila cha msingi awe muelewa na mwenye nia ya kweli kama mimi
Mawasiliano DM
Au 0753112138
 
Jinsia yako tafadhali
 
Bado sijajua jinsia Gani wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…