Akida MALCOLM X
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 492
- 456
Allah akupe mke mwema, ndugu yanguHabari za Wakati,kama Mada inavyo jieleza! Mi ni Mbaba wa Kiislam,mwenye miaka 38! Nina Mke na Watoto Watatu! Natafuta Mwanamke Mjane wa Kiislam,anayefata Manhaj Salafi! Umri usizidi miaka 32! Akiwa na Mtoto au asiye na Mtoto! Awe Mrefu,si mnene Sana Wala Mwembamba Sana! Sichagui Rangi Wala Kabila! Mwenye vigezo njoo Dm!
MashAllah mashAllah umeamua kutoa stara, shukrani kwa niaba yaHabari za Wakati,kama Mada inavyo jieleza! Mi ni Mbaba wa Kiislam,mwenye miaka 38! Nina Mke na Watoto Watatu! Natafuta Mwanamke Mjane wa Kiislam,anayefata Manhaj Salafi! Umri usizidi miaka 32! Akiwa na Mtoto au asiye na Mtoto! Awe Mrefu,si mnene Sana Wala Mwembamba Sana! Sichagui Rangi Wala Kabila! Mwenye vigezo njoo Dm!
AmiinAllah akupe mke mwema, ndugu yangu
ShukraniMashAllah mashAllah umeamua kutoa stara, shukrani kwa niaba ya
Ikawe kheri in shaa Allah
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Akhy inaweza kuwa sawa au si sawa,but Jf pia ni namna ya kupata! Inaweza kuwa Mwanajf ana nduguye!Manhaj salafy kwenye JF kweli akhy mbora....?
Akhi kuna jamaa yule alikua anatafuta mume wa dada ake humu humu ila uzi siukumbuki yni ni vigezo ivo ivo unavovitaka wwHabari za Wakati,kama Mada inavyo jieleza! Mi ni Mbaba wa Kiislam,mwenye miaka 38! Nina Mke na Watoto Watatu! Natafuta Mwanamke Mjane wa Kiislam,anayefata Manhaj Salafi! Umri usizidi miaka 32! Akiwa na Mtoto au asiye na Mtoto! Awe Mrefu,si mnene Sana Wala Mwembamba Sana! Sichagui Rangi Wala Kabila! Mwenye vigezo njoo Dm!
Akhi kuna jamaa yule alikua anatafuta mume wa dada ake humu humu ila uzi siukumbuki yni ni vigezo ivo ivo unavovitaka ww
Kwa anaemkumbuka yule jamaa anomtafutia stara dada ake amuunganishe huyu ndugu yetu
Huyu alikua anatafutq mkeAnaitwa [mention]DR HAYA LAND [/mention]