natafuta mchumba

emkey

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
728
Reaction score
137
natafuta mchumba/msichana mwenye sifa hizi:
mweupe au maji ya kunde.
mwembamba.
elimu ya kidato cha sita au chuo.
dini yoyote.
kabila yoyote.
ajue kiswahili.
umri ni: 24-30.
asiwe na mtoto.

awe tayari kwa ndoa.
contact: 0714-408238 au 0759-401230.
 
Dah, sifa zote ninazo.
Hebu toa sifa zako zaidi ili nione kama utafaa kuliwa na mie.
 
Sijaona suala la kuwa tayari kupima hapo kwenye vigezo, naona sio kipaumbele kwako
 
tafuta darubini utamuona tu ,.... wapo wengi humu mkuu
 
Aisay na mimi natafuta wanawake wengine watatu wakuowa.

Wawe wazuri, wanapesa, wamesoma, na kila sifa nzuri walizo nazo wanawake wazuri.

Wanaweza kuni call kwa kutumia Al jazeera, CNN au BBC.
 
Ukikosa hapa Jaribu kutumia njia za kisasa kama Google Search, Ctrl + F, bing, nk
 
hongera lakini hujaweka sifa zako na ujuzi
 
Sifa zaid tafadhali,mwaga cv yako ieleweke.Una gari,nyumba je,una ATM cards ngapi.Mshahara wako per month.ukiwa navyo hivyo tu tayari ushanipata.
 
hellow JF, am happy to join JF.
Mdau toa sifa zaidi wadao wajue kama unafiti, utawapata, kaza buti
 
Mkuu hujazungumzia kuhusu urefu nafikiri dada yangu anafaa ni mweupe mwembamba kasoro ni mbilikimo je nikupe namba yake ya simu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…