Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

eng Bakari hamisi

New Member
Joined
Dec 10, 2023
Posts
4
Reaction score
7
Naitwa Abuubakari mkazi wa Dar es salaam
Nmeajiliwa
Natafuta mchumba ambae nitafunga nae ndoa,
Sifa awe na Umri kuanzia 20-28
Muislam
Mawasiliano zaidi 0759565300
 
Wakuu naomba muige mfano wa Mkuu eng Bakari hamisi kwenye swala la mawasiliano. Hapa kasahau kuambatanisha picha tu ashinde tuzo ya ombi bora la mwaka 2023.
 
Naitwa Abuubakari mkazi wa Dar es salaam
Nmeajiliwa
Natafuta mchumba ambae nitafunga nae ndoa,
Sifa awe na Umri kuanzia 20-28
Muislam
Mawasiliano zaidi 0759565300
Wewe unazingua na utakuwa sio wa hiyo dini! Kwenu suala la kuoa ni rahisi kuliko kupata chakula cha mchana! Unaweza kuoa asubuhi na mchana taraka na maisha yakaendelea! Hata 'ke' za dini yako hazina shida!
 
Sasa hayo yamekujaje, kwani wanaokuja kutafuta wenza humu Ni wale tu ambao dini zao zimeweka utaratibu mgum wa kuoa!?? Jaribu kuchangamsha fuvu lako
 
Back
Top Bottom