Naitwa Abuubakari mkazi wa Dar es salaam
Nmeajiliwa
Natafuta mchumba ambae nitafunga nae ndoa,
Sifa awe na Umri kuanzia 20-28
Muislam
Mawasiliano zaidi 0759565300
Wakuu naomba muige mfano wa Mkuu eng Bakari hamisi kwenye swala la mawasiliano. Hapa kasahau kuambatanisha picha tu ashinde tuzo ya ombi bora la mwaka 2023.
Naitwa Abuubakari mkazi wa Dar es salaam
Nmeajiliwa
Natafuta mchumba ambae nitafunga nae ndoa,
Sifa awe na Umri kuanzia 20-28
Muislam
Mawasiliano zaidi 0759565300
Wewe unazingua na utakuwa sio wa hiyo dini! Kwenu suala la kuoa ni rahisi kuliko kupata chakula cha mchana! Unaweza kuoa asubuhi na mchana taraka na maisha yakaendelea! Hata 'ke' za dini yako hazina shida!