Natafuta mchumba

issac77

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
4,128
Reaction score
7,899
Mimi ni kijana wa makamo umri miaka 32, elimu yangu std 7, kazi mjasiriamali, natafuta mchumba ambae hatiaye awe mke wangu.

Umri 22~27, elimu itapendeza asivuke form 4, dini/kabila lolote, hata akiwa na mtoto ni sawa.

Mwenye yupo tayari karibu PM tuianze safari.
 
Hili bandiko mbona lina ukakasi?
Dini yoyote sawa! Hata akiwa mtoto sawa! Hata akiwa mwanafunzi sawa!
Inaonekana hujakonaa kiakili kuoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…