Natafuta mchumba

SHANGE

New Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
2
Reaction score
1
Nipo morogoro chuo kikuu sokoine,natafuta mchumba wa kuoa.Nina umri wa miaka 29.sichagui rangi wala kabila.Awe mkristu.Aliye tayari tuwasiliane kupitia email josephmtonga@ymail.com
 
aaag,............... mi nilidhani demu!!...............siku hizi mademu ndo wanatafuta wachumba bana, ebo.......................
 
sawasawa bwana Joseph Isdory, usijali watakuja wadada wa JF
 
Kawaeleze wazazi wako tatizo lako watakusaidia,
 
Mchumba hatafutwi hivi kazana kusoma kwanza kila jambo lina mpango wake
 
mmmh, nimekumbuka moja ... jifanye umekuja likizo mara moja toka ughaibuni, unataka uoe fasta na kuondoka naye teh teh teh...
 
Mdanganyeeeeee!!!

huo mtego ni ngumu sana kuruka kipipi, yaani unagonga mzigo, unamtafutia na passport feki, siku ya siku unaenda kumwacha airport... so crude eeh
 
Kazi kweli kweli,yan chuo kizima hujaona anaekufaa ht ile chakula yako ya sasa nae umeona hakufai.Nadhan kutongoza ni kipaji,anyway nina mdogo wangu ila ndo yuko std 7 sijui utakuwa na subira ya kumsubiri.
 
Ebo!Mwambie aende buguruni,pale hata aja ya kubwabwaja maneno,yeye aandae neno 1 tuu"twende zetu"
 
Sokoine unasoma au unafanyishwa kazi, kama bado wasoma, tafuta ajira halafu nitafute tuyamalize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…