Jana nilitoa tangazo katika safu hii. Jamani niko sirias. Leo narudia tena.
Natafuta mchumba mwenye heshima,huruma, uvumilivu, mchapakazi, mweupe wa wastani, mwenye mwilli wenye ukubwa wa wastani kutoka kabila lolote. Awe mkristo. Mimi nina umri wa miaka 28. Nina sifa zifuatazo, mweusi si mweusi, mwembamba wa wastani, urefu wa wastani, ni mwanaharakati, mwandishi wa makala,na ni mwalimu wa sekondari.
Dada mwenye vigezo hivyo hata kama hana baadhi ya vigezo awasiliane na mimi
Asanteni wadau.Tushirikiane.