Natafuta mchumba

Status
Not open for further replies.
Mwajuma mbona simu umezima sasa?
 
Mwajuma kuwa makini na mapenzi ya kwenye mtandao...
all the best
 
Kazi kwenu wazee wa kazi tena hana hata vigezo na mashart vya kuzingatiwa yeye anachota ni mchumba.
 
May God bless u,umpate huyo Potential husb,sina mpango wa kuoa mwaka huu ningekutokea,ila huku kuna Magumegume mengi kweli kuwa makini.
 
Wewe umekosea ungetuweka tu avatar tuzuri zuri kama hio ya first lady, tunge kutongoza tu.

Unajua tu avatar tunavutia :biggrin:
 
mwanajuma karibu jamvini hapa mchumba umepata ushindwe mwenyewe
 
Speaker is listening to the song: will you marry me? by John Berry



Soooo sweeeeeeeeeeeet
 
You're cute,.....ngoja waje waoaji utawapata wengi tu
usishindwe kuchagua.
 
nimependa bandiko lako. halina rongorongo wala nini. safi sana. Mungu akujalie upate Mume mwema. Mimi ntakuchezea tu sababu bado sijawa na mpango wa kuoa. Napenda wasichana wawazi. wewe ni great thinker sana. MUME UTAPATA TENA HAPA HAPA USIHOFU.
 
Una elimu gani,
Kiumbo ukoje? Mrefu, Mfupi, Mnene, mwembamba, au???
Chanzo cha kua Single mpaka sasa ni nini???
Una miaka mingapi toka umeanza mahusiano na wanaume??
Nikifanikiwa kukupata nitakua mwanaume wako wa ngapi????
Unaishi kwako, kwa wazazi, kwa ndugu, au kwa nani???
Uko tayari twende Angaza???
 
Kaka Shark nimeipenda sana falsafa yako, huyu demu umemuuliza maswali ya msingi mno, nashangaa hajakujibu!
 

Mwajuma jibu maswali hayo wazee wa viwango wakufuate hahahaha
 
ngoja nimPM. . .

Ni kuhusu administative issues wajameni eeh!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…