Chris_Mambo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 595
- 122
Mnh! Watu kwa kuhofia mileage jamani? Hebu oeni, mambo mengine acheni kama yalivyo!Una elimu gani,
Kiumbo ukoje? Mrefu, Mfupi, Mnene, mwembamba, au???
Chanzo cha kua Single mpaka sasa ni nini???
Una miaka mingapi toka umeanza mahusiano na wanaume??
Nikifanikiwa kukupata nitakua mwanaume wako wa ngapi????
Unaishi kwako, kwa wazazi, kwa ndugu, au
kwa nani???
Uko tayari twende Angaza???
Kaka Shark nimeipenda sana falsafa yako, huyu demu umemuuliza maswali ya msingi mno, nashangaa hajakujibu!
mwajuma kuwa makini na mapenzi ya kwenye mtandao...
All the best