Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

bbukhu

Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
58
Reaction score
1
Mimi ni ME mwenye umri wa miaka 28. Natafuta mchumba vigezo vifuatavyo.

Mchapakazi
Umri wa kuanzia miaka 24-26
Mwenye mwili wa ukubwa wa wastani
Rangi ya kunde
Mrefu wa wastani
Elimu yoyote
Kabila lolote
Dini yoyote.
Aliye tayari aniPM FASTA.
 
Wewe !!!!!!!!!!! Una roho kweli. Uta poswa na popobawa au kash kash.
 
So what! Mchumba kwenye mtandao!
Huko mtaani kwenu, vigezo ulivyotaja wameshinda ku-meet?
 
Kwa vigezo ulivyotaja huna haja ya kutafuta huku kwenye mtandao maana mtaani wamejaa tele. Kwa kuanzia nenda sehemu za mikusanyiko kama vile sokoni, kumbi za starehe n.k. Pia ninapata wasiwasi kama kweli unatafuta mchumba ambaye atakuwa mke au una hamu ya tendo la ndoa.
 
rangi ya kunde ndio ipi....?
 
weka cv yako maana umetoa vigezo kwa wengine bila kujieleza
 
Mimi ni ME mwenye umri wa miaka 28. Natafuta mchumba vigezo vifuatavyo.

Mchapakazi
Umri wa kuanzia miaka 24-26
Mwenye mwili wa ukubwa wa wastani
Rangi ya kunde
Mrefu wa wastani
Elimu yoyote
Kabila lolote
Dini yoyote.
Aliye tayari aniPM FASTA.

single and searching.........jpg

Single & searching..........Meet her!
 
Back
Top Bottom