Kwa vigezo ulivyotaja huna haja ya kutafuta huku kwenye mtandao maana mtaani wamejaa tele. Kwa kuanzia nenda sehemu za mikusanyiko kama vile sokoni, kumbi za starehe n.k. Pia ninapata wasiwasi kama kweli unatafuta mchumba ambaye atakuwa mke au una hamu ya tendo la ndoa.