kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
binafsi mimi ni kijana wa umr wa miaka 27,ni mwanafunz wa mwaka wa tatu chuo cha st John dodoma.natafuta mchumba ambaye mungu akipenda tutakua mwili mmoja hapo baada,dini wala kabila sizingatii sana ilimradi tu awe na umri kuanzia miaka 20 hadi 27,awe na nidhamu ya hali ya juu kuanzia nyumbani,na nje ya hapo,mcha mungu na anaejua nini maana ya maisha.tafadhali hiki ni kitu ambacho nipa kipaumbele kikubwa na nipo nacho serious hivyo kama upo tayari tuwasiliane\
Ni vyema umetoa huru wa maoni yako, lakini matangazo kwenye suala la mapenzi ababu mnakaa mazingira ya pamoja.a vya kutosha sni tatizo kutakuta kwenye msafara wa mamba hata knge wapo.Nadhani hapo chuoni ni mahala pa zuri kupata mchumba, naloona una thrika ya woga , jieleze utapata mchumba mzuri utakaye mchunguza vizuri z
aidi sababu mtakuwa mnakaa eneo moja lenye mazingira ya kufanana.Pia atakuwa msomi wa kufanana na wew.
hakika nijuavyo na nilivyoona wanafunz wengi wapo kimaslahi zaidi
We uko nyuma ya calender nn amna mwanamke ambae ana mapenz ya kwel,(akunaga mapenz yale na kupendana n zama za kale)
Mwenye nidhamu ya juu, huwezi kumpatia hapa.
binafsi mimi ni kijana wa umr wa miaka 27,ni mwanafunz wa mwaka wa tatu chuo cha st John dodoma.natafuta mchumba ambaye mungu akipenda tutakua mwili mmoja hapo baada,dini wala kabila sizingatii sana ilimradi tu awe na umri kuanzia miaka 20 hadi 27,awe na nidhamu ya hali ya juu kuanzia nyumbani,na nje ya hapo,mcha mungu na anaejua nini maana ya maisha.tafadhali hiki ni kitu ambacho nipa kipaumbele kikubwa na nipo nacho serious hivyo kama upo tayari tuwasiliane\
kila la kheri mzee... humu ndani kuna mabinti wenye sifa zote, so just take your time
kwanini mwenyenidhamu asipatikane hapa? hii n sehemu fun ,but wapo wengi wenye heshima
Simama kwenye kona ya kuingilia cafeteria then ufanye systematic sampling!!!!!!!!!!!binafsi mimi ni kijana wa umr wa miaka 27,ni mwanafunz wa mwaka wa tatu chuo cha st John dodoma.natafuta mchumba ambaye mungu akipenda tutakua mwili mmoja hapo baada,dini wala kabila sizingatii sana ilimradi tu awe na umri kuanzia miaka 20 hadi 27,awe na nidhamu ya hali ya juu kuanzia nyumbani,na nje ya hapo,mcha mungu na anaejua nini maana ya maisha.tafadhali hiki ni kitu ambacho nipa kipaumbele kikubwa na nipo nacho serious hivyo kama upo tayari tuwasiliane\
Simama kwenye kona ya kuingilia cafeteria then ufanye systematic sampling!!!!!!!!!!!