Man Ngosha
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 219
- 69
Mimi ni kijana umri miaka 26,nahitaji msichana mwenye mapenzi ya dhati na mwenye hofu ya Mungu,ambaye tutakuwa wapenzi na Baadae tutaingia katika ndoa!!awe mrefu wa kati,umri 22 - 24,elimu kuanzia diploma!elimu yangu ni degree!!Ningependa awe Dodoma kwa sababu mimi pia nipo Dom kwa sasa!!kwa aliye tayari aniPM au amosjohn14@rocketmail.com.
pm me nipo dom
We ni she au he?
Hahahahaha! Vipi ushampiga chini siyo?Kuna dada hayuko kwenye mtandao huu ana umri wa miaka 27 Amesomea ualimu Diploma. Kama anakufaa sema tukuuunganishe. Ni mchamungu sana Kanisani
Huyo nipasie mimi asee..... mi na wewe hatunyimani:loco:hapo dodoma kote wachumba wamekosekana..pole sana nina rafiki zangu mitaa ya Area C zunguka zunguka mnaweza kukutana :israel:
hahahahaha! Vipi ushampiga chini siyo?