Natafuta mchumba

MMDAU

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
94
Reaction score
19
uwe mkubwa futi kumi na mbili kwa kumi na tato utoshe kuweka kitanda changu cha sita kwa sita
maeneo ya sinza kodi iwe bei rahisi kidogo na umeme na maji viwe vya uhakika
 
we unaongea nini.........?
 
ha ha ha, kidogo nitoke povu.

Nikapotezea tu
 
We umejipanga je mpaka uwe na masharti ya kiivyo!
 
kah wtz hawaishi vioja mi mwenyewe nilikua nafungua haraka haraka kumbe ni chumba
mbavu sina watu wanaweza kushang'aa nacheka mwenyewe chumbani
 
Anahitaji kupumuliwa huyu ndo style zao za kuomba
 
uwe mkubwa futi kumi na mbili kwa kumi na tato utoshe kuweka kitanda changu cha sita kwa sita
maeneo ya sinza kodi iwe bei rahisi kidogo na umeme na maji viwe vya uhakika

JipAAnGE!
 
nimekumiss.....unajua mahali kuna mchumba umpatiamo huyu jamaa.........

Jamaa mwenyewe hata hajaweka sifa zake nani anataka mzigo maisha haya? Acha ahangaike unaweza mtafutia kumbe jini.
 
Kama Chumba kikubwa kinaitwa mchumba,then hicho unachotaka wewe ni zaidi ya mchumba ni mkubwa zaidi ya hapo,labda kama unataka Unyumba..(Nyumba kubwa)....kwani wewe ke au me????
kwani hapa maeneo yetu sinza unyumba ni kwa 'ke' tu
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…