ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
Seriously, mimi ni mvulana mwenyd miaka kati ya 26-32. Natafuta msichana wa kuishi naye kama mke na mume. Naomba mwenye sifa zifuatazo. 1.awe angalau na elimu ya kidato cha nne. 2. Awe wa kabila lolote. 3. Asiwe mnene sana au mwembamba sana. 4.awe mkristo kiimani. Elimu yangu ni kati ya kidato cha sita na masters. Naomba aliye tayari ani Pm! Kama haupo serious usijaribu.