Natafuta Mchumba

Natafuta Mchumba

BabyX

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Habari wana JF, mimi nimwanamke, ninatafuta mchumba kuanzia miaka 36 mpaka 45, awe mcha Mungu, mwenye elimu ya chuo. Jamani nipo serious kwa hili swala. Natanguliza shukrani.
Dini yangu ni mkristo

Kwa aliye serious,email yangu ni:

julitaxi@ymail.com
 
Nna kaka yangu kimeo hivi, he is 40. Ukikosa kabisa nistue nikuunganishe labda utatusaidia kumnyoosha. Wifi Lizzy nilimuuzia mbuzi kwenye gunia naona kaachia ngazi.
 
Last edited by a moderator:
Wewe Una Miaka Mingapi?
Elimu Yako?
Tabia?
Wewe Ni Jinsi Gani?
Experience Yako Ktk Mapenzi?
Nami Natafuta!
 
Utajuaje kama hawajaghushi shahada? Dada huna shida na mchumba maana haya mambo ya chuo kwenye mambo ya unyumba yanakujaje au ni wale wale kuwa lasima mumeo awe mhasibu, mfanyabiashara, afanye kazi TRA, Mwanasheria ili uwese kutumia kinu kujenga nyumba rua!
 
Habari wana JF, mimi nimwanamke, ninatafuta mchumba kuanzia miaka 36 mpaka 45, awe mcha Mungu, mwenye elimu ya chuo. Jamani nipo serious kwa hili swala. Natanguliza shukrani.
Nitumie details zako...Kwanza dini yako, pili uzuri wako, na utajiri wako.

Mana natazama hayo matatu kwanza, mana nimeisha pata ofa huko Abu dhabi sio ya kawaida.

Yani mtoto ni full dini hata ukitaka kumuamkia kwa mkona anaweka baibui kwanza anasema haramu mpaa awe mke wako, uzuri wake usiseme Mungu amlinde na vijicho vya mashetani na mali walizo nazo MashaAllah usiseme yani sidhani kama nitasumbuka sana zaidi ya kwenda na mzegazega wangu tu, hata my 1st wife akisema hakuna kuongeza mke wa pili naoa kisiri siri tu, mpaa aje ajue nimeisha mzalisha.

Sa we ukiwa una faa na kuweka number 3.
 
Habari wana JF, mimi nimwanamke, ninatafuta mchumba kuanzia miaka 36 mpaka 45, awe mcha Mungu, mwenye elimu ya chuo. Jamani nipo serious kwa hili swala. Natanguliza shukrani.
Dini yangu ni mkristo

Kwa aliye serious,email yangu ni:

julitaxi@ymail.com


Email yako imenikumbusha enzi za Joe Le Taxi song
 
Nimeona hitaji lako la kutafuta mchumba na mimi naomba nikuunganishe na jamaa yangu ambaye naye anatafuta mchumba. Lakini kabla sijakuunganisha, inabidi ufanye juu chini unitumie picha yako ili ninapompelekea hili swala niweze kupeleka na picha yako. Huyu jamaa ni M-Luo, anatoka Kenya, ni jamaa ailyepanda juu na ni mweusi kama Laila Odinga. Ana umri kama ulioutaja na shule kaenda ya kutosha kutokana na nature ya kazi anayofanya sasa. Hajawahi kuoa na hana mtoto mpaka leo. Ni mtu wa kanisa, (siyo sana) na imi nimemjulia hapa kanisani kwetu ambapo ibada hupigwa kwa lugha ya kikwetu, Kiswahili.Yeye hupendelea wanawake wenye maumbo, awe maji ya kunde au mweupe (siyo sana) na aliyejaaliwa makalio. Tukimuoza Mtanzania mwenzetu, najua atakuja kujenga Tanzania na baadhi ya pesa anazopata hapa atatuma kuja huko Bongo na uchumi wa hapo ulipo nchini Tanzania utainuka.. Nitakuandikia e-mail shortly.
 
Back
Top Bottom