Nitumie details zako...Kwanza dini yako, pili uzuri wako, na utajiri wako.Habari wana JF, mimi nimwanamke, ninatafuta mchumba kuanzia miaka 36 mpaka 45, awe mcha Mungu, mwenye elimu ya chuo. Jamani nipo serious kwa hili swala. Natanguliza shukrani.
Habari wana JF, mimi nimwanamke, ninatafuta mchumba kuanzia miaka 36 mpaka 45, awe mcha Mungu, mwenye elimu ya chuo. Jamani nipo serious kwa hili swala. Natanguliza shukrani.
Dini yangu ni mkristo
Kwa aliye serious,email yangu ni:
julitaxi@ymail.com
Wewe Una Miaka Mingapi?
Elimu Yako?
Tabia?
Wewe Ni Jinsi Gani?
Experience Yako Ktk Mapenzi?
Nami Natafuta!