Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

kigogo1ivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
539
Reaction score
340
Natafuta mchumba wa kike, awe na miaka 19-23 dini kabila sibagui. Awe mwelevu na msikivu. Contact: jcarts67@gmail.com
 
Hizo simple criteria jamani hazipo mtaani, hebu weka cv yako pls
 
Natafuta mchumba wa kike, awe na miaka 19-23 dini kabila sibagui. Awe mwelevu na msikivu. Contact: jcarts67@gmail.com

hapo kwenye red sijaelewa. Je unadhani details ulizotoa zinatosha?
 
ujaamua kufanya hilo kwani naona kama unaota ndoto za bulicheka;
being stupid is very easy than wise
 
Utapata usikate tamaa ..nina ushaidi wengi wameleta feedback nzuri ya kufanikiwa. ILA UKIPATA USISAHAU KURUDI NA KUTOA SHUKRANI. ila ushauri funguka zaidi CV inapwaya.
 
utapata malayaaaa tuu hakana mwanamke wakuoa atajiuza kwenye mitandao ya kijamii
 
Kama uchumba hadi mitandaoni mmekwisha. Tafuta unae muona huyo hawezi danganya tabia yake ila wa huku atajituliza kwa muda ngoja uoe utaona cha mtema kuni.
 
Back
Top Bottom