Utapata usikate tamaa ..nina ushaidi wengi wameleta feedback nzuri ya kufanikiwa. ILA UKIPATA USISAHAU KURUDI NA KUTOA SHUKRANI. ila ushauri funguka zaidi CV inapwaya.
Kama uchumba hadi mitandaoni mmekwisha. Tafuta unae muona huyo hawezi danganya tabia yake ila wa huku atajituliza kwa muda ngoja uoe utaona cha mtema kuni.