Mimi ni kijana miaka 32, kutoka Kigoma, wilaya ya Kasulu, kwa sasa niko Ujerumani masomoni (PhD), na natarajia kumaliza mwakani mwanzoni.
Mpaka sasa sijaoa na msichana niliyemwamini, na niliyetegemea kumuoa mara nirudipo, ameshindwa kunivumilia nikiwa mbali, amenisaliti.
Natafuta msichana ambaye ni msomi wa walau Bachelor level, asiyezidi miaka 30, mzuri, na mwenye tabia ya kufaa kuwa mke wa mtu aliye kwenye shughuli za academics.
Kwa wanaokidhi vigezo hivyo, ni PM, ukiweza ku attach picha yako ntafurahi zaidi.
I am serious