Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Nanji

Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
63
Reaction score
16
Ni mwanamke wa miaka 32. Dini yangu mkristo(RC), nina mtoto 1 elimu ya Chuo ni mwajiriwa/mjasiliamali natafuta mchumba (aliye serious) mwenye upendo wa dhati umri kati ya 35-40 awe ambaye hajawai kuoa aliyeajiriwa/jiajiri dini mkristo elimu yake chuo, asitumie pombe wala kuvuta sigara. Awe tayari kupima afya. Aliye serious ani PM
 
Yan kama hujasoma hakuna mchumba. Me mdogo xana dada wanakuja wenye vigezo .
 
duh vigezo vyote nimetimiza except nina miaka 33, je waweza kunifikiria? Ohh nimesahau pia naonja ulabu kwa mbaaali pia. Plz nifikirie basi naomba....
 
Mimi ninavigezo vyote, nimesoma lakini sina elimu, na nina miaka 41 na kibaya zaidi mimi ndie ninaajiri, vipi nitakufaa?
 
Itabidi niache hizi Castle!! Nakunywa za mwisho mwisho
 
Hili tangazo linanihusu ngoja nizame PM
 
nafanya PM sasa hivi lakini wewe una mtoto ni mjane ? maana wajane utasikia marehemu alikua hanifanyii hivyo oh huyu sijui nini tabu kweli"Siachi castle kwani mara zote nakuwa wa kwanza kuifungua 1.haiambukizi ngoma 2.haina wivu 3.castle acha iitwe hivyo 4.mnaweza mkashea na mwenzio ahahahaha niendelee hainipi masharti wow anytime haiendi mwezini wewe
 
Back
Top Bottom