Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

-Mi ni kijana mvulana (27) natufuta mchumba wa kike, Sijali dini, kabila wala umri.
Ditto86 hongera kwa kujitokeza kama walivyofanya wengine na natumai utampata unayemtafuta,upo maeneo gani?
 
-Mi ni kijana mvulana (27) natufuta mchumba wa kike, Sijali dini, kabila wala umri.

Dah! Hapo kwenye red umeniacha hoi,umeshajitambulisha wewe ni kijana mvulana sasa wasiwasi wa nini tena:becky:
 
Dah! Hapo kwenye red umeniacha hoi,umeshajitambulisha wewe ni kijana mvulana sasa wasiwasi wa nini tena:becky:

bila kufanya ivo unaweza pata mchumba wa jinsia moja, mambo yamebadilika... msisitizo tu.
 
-Mi ni kijana mvulana (27) natufuta mchumba wa kike, Sijali dini, kabila wala umri.

mmh mwana wewee...hujali umri?!!! so funny, uh!..haya mimi hapa kwangu nina kibibi kina miaka 70 kinatafuta kijana mwenye umri chini ya 30yrs maana kinasema kimechoka na upweke. nadhani kitakufaa. ngoja nikiambie kiku-pm faster wasije wakawahi damu changa!
 
Huku kumbe mambo ni swadaktaaaaaaaa .. Kazi kwa mabinti.. Kuchangamkia tenda !

Nekumbuka shuka usubuhi.. Angrrrrrrr

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom