natafuta mchumba

Izzo G

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
414
Reaction score
62
jamani na mimi pia nahitaji mchumba umri
wangu miaka 27 elimu kidato cha sita, kazi
mjasiriamali, kimo mimi ni mfupi,rangi mimi ni
mweusi, mchumba nahtaji kuanzia miaka 18
hadi 25 ani pm ntampa namba zangu
 
Kweli wanaume wamekuwa tabu kupata ndio maana mnaotaka kuolewa ni wengi!!!! Subiri subiri kama watajitokeza!
 
jamani na mimi pia nahitaji mchumba umri
wangu miaka 27 elimu kidato cha sita, kazi
mjasiriamali, kimo mimi ni mfupi,rangi mimi ni
mweusi, mchumba nahtaji kuanzia miaka 18
hadi 25 ani pm ntampa namba zangu

Kwenye bold ungeua sare.........Hawa wa huku kwetu sijuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…