Du, pole. Muda wote huo ulikuwa wapi mpaka wadogo yako wameolewa? We kubali kuwa hivyo maana uliwakataa waliotaka kukuoa ukidhani utakuwa mrembo milele. Sasa ndo unajutaaaa na mamiaka yanazidi kusonga. Waache wadogo zako waolewe bana, we muda wako umekwisha.