Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Bangili

New Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
4
Reaction score
1
Habari wana JF

Mimi ni mwanamke, natafuta mchumba. Awe na miaka kuanzia 36 na kuendelea. Dini awe mkristu na mcha Mungu, Awe hajawahi kuoa wala asiwe na watoto. Elimu chuo kikuu. Awe serious na swala la kuanzisha familia. Awe tayari kupima ukimwi.

Aliye serious na anayetafuta mwenza naomba aniandikie kwenye email:
silviafrank@rocketmail.com
 
Miaka 36 awe kakusubili wewe?. eti elimu chuo kikuu siuende ukaolewe na ma P/fesa, naona kila anae kuja anakalili kwa anae toka. nimechoka na upuuzi wenu kunasiku nitawatukana.
 
Acha hizo Mkuu!!! Kama huna la maana la kuandika ni bora ukae kimya.

Miaka 36 awe kakusubili wewe?. eti elimu chuo kikuu siuende ukaolewe na ma P/fesa, naona kila anae kuja anakalili kwa anae toka. nimechoka na upuuzi wenu kunasiku nitawatukana.
 
Taja na sifa zako,. Je ua watoto wangapi? elimu, kazi etc
 
Back
Top Bottom