Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

makusafrank

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
27
Reaction score
5
Natafuta mchumba wa kunioa aliye na niya ya dhati yakuanza maisha mapya ya familia. umri miaka 43- 47 awe mkrito na mcha Mungu. vigezo na masharti kuzingatiwa. I am very seriously
 
  • Thanks
Reactions: REH
Hapo kwenye umri ndo umenifuzia mbali ila nadhan 2ngeoana
 
mhm...ulikuwaga wapi wakati wenzio wanaolewa?
 
Umri wangu bado haujapita ila nataka mwanaume mwenye umri huo sipendi mabrother men wasio na msimamo. Namaanisha mwenzenu. Naomba mwenye kigezo hicho cha umri ani inbox kwani vigezo na masharti vinazingatiwa

Sent from Tanzania
 
@ mzab muda wakuolewa ulikuwa bado. Tunaenda kwa malengo

Sent from Tanzania
 
umri nadhani si kigezo dada yangu unaweza pata wa umri unaoitaji ikawa tatizo punguza nasharti wenyenia waje
 
hayo ndo mambo ya kua mke wa pili au nyumba ndogo.! Uliona wapi mwanaume 43 and above hajaoa?
 
Kwa umri wa huyo mwenza unayemtaka itakuwa ngumu kuanza naye maisha mapya! Inavyoonekana unatafuta majanga! Me nakushauri uende vyuo vya uchungaji! Huwa kuna watu wa umri huo watakufaa sana
 
Back
Top Bottom