Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

libwaka

Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
53
Reaction score
11
habari zenu wana jf. umri wangu miaka 25 natafuta mchumba, awe muislam na mcha mungu awe na elim yeyote ile, umri wake miaka 18-23. mi nipo dsm. aliye serious karibu sana, luv u all. (my name is ABEID).
 
Watajie sifa zako kwanza, una gari?
 
habari zenu wana jf. umri wangu miaka 25 natafuta mchumba, awe muislam na mcha mungu awe na elim yeyote ile, umri wake miaka 18-23. mi nipo dsm. aliye serious karibu sana, luv u all. (my name is ABEID).

Kila la heri Abeid..
 
wamtaani kwn wamekushinda wa jf utawaweza?
 
habari zenu wana jf. umri wangu miaka 25 natafuta mchumba, awe muislam na mcha mungu awe na elim yeyote ile, umri wake miaka 18-23. mi nipo dsm. aliye serious karibu sana, luv u all. (my name is ABEID).

Hata ALKAEDA anaruhusiwa?Ila nchi yetu haina dini.
 
Abeid toa namba zako za simu na utawapata wa kutosha,andaa hela ya kutuma kama vocha za simu na kwa kuwa umeamua kuja humu kutafuta mwenza kumbuka kuwa humu wapo wajanja tu ambao kupanda daladala wengine hawawezi hata kama hawana magari,uwe na uwezo wa kuwapeleka kula lunch kwenye hotel yoyote ile yenye hadhi ambayo chips kuku ni lazima uwe na buku 10,mengine utayakuta baadae ukikutana nao,kila lenye kheri.
 
habari zenu wana jf. umri wangu miaka 25 natafuta mchumba, awe muislam na mcha mungu awe na elim yeyote ile, umri wake miaka 18-23. mi nipo dsm. aliye serious karibu sana, luv u all. (my name is ABEID).
profilepic86285_1.gif
anatafuta mchumba
 
habari zenu wana jf. Umri wangu miaka 25 natafuta mchumba, awe muislam na mcha mungu awe na elim yeyote ile, umri wake miaka 18-23. Mi nipo dsm. Aliye serious karibu sana, luv u all. (my name is abeid).

kila la kheri
 
Back
Top Bottom