Natafuta mchumba

Kikolu

New Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Habari wana JF, najitokeza nikiwa serious kabisa, natafuta mchumba. Mimi ni mwanamke, hivyo natafuta mchumba wa kiume. Umri kuanzia miaka 35 mpaka 41. Natafuta mchumba mwenye umri huu kwani wengi walio kwenye umri huu wameshaanza kuwa na akili za kiutu uzima hivyo jamani naomba msinishambulie sana. Dunia ya sasa imeharibika sana hivyo natafuta mtu anayemfahamu Mungu, awe mkristo, elimu nayo ni muhimu siku hizi hivyo naomba sana atakayeniandikia awe na elimu kuanzia chuo kikuu. Pia asiwe amewahi kuoa au asiwe na watoto, najua watu mtanishambulia kwa hili, lakini watu wa hivi wapo. Aliye tayari na aliye serious kuhusu swala hili naomba aniandikie kwenye email address:

suzykimbo@yahoo.com
 

ushanipata mdada....ondoa shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…