Natafuta mchumba

Kikolu

New Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Habari wana JF, najitokeza nikiwa serious kabisa, natafuta mchumba. Mimi ni mwanamke, hivyo natafuta mchumba wa kiume. Umri kuanzia miaka 35 mpaka 41. Natafuta mchumba mwenye umri huu kwani wengi walio kwenye umri huu wameshaanza kuwa na akili za kiutu uzima hivyo jamani naomba msinishambulie sana. Dunia ya sasa imeharibika sana hivyo natafuta mtu anayemfahamu Mungu, awe mkristo, elimu nayo ni muhimu siku hizi hivyo naomba sana atakayeniandikia awe na elimu kuanzia chuo kikuu. Pia asiwe amewahi kuoa au asiwe na watoto, najua watu mtanishambulia kwa hili, lakini watu wa hivi wapo. Aliye tayari na aliye serious kuhusu swala hili naomba aniandikie kwenye email address:

suzykimbo@yahoo.com
 
chagua,chagua wataka mwenye pesa ushazeeka wakumbuka eeh
 
[Pole sana dada yangu kwa upweke ila kwa kigezo cha umri uliotaja huwezi kupata mchumba kwani hao wameshaoa na wana watoto tayari halafu unaonekana ni mbaguzi kwanini unapenda wakristo pekee? ina maana sisi wasio na dini hatuna haki ya kuoa?
 
Bwana na hakupe haja ya moyo wako! Utapata tu, humu wako wengi wanakuja!
 
Chuo kikuu??????
Sasa wewe unataka mume?au unataka elimu ya mume?chuo kikuu kinahusiana nini na ndoa?utasota sana kama ukiwa na vikwazo kama hivi.

Mie ningekua tayari lakini elimu yangu ni ya darasa la nne ingawa maisha yangu ni ya phd!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…