Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hauko serious wewenatafuta mchumba jamani awe mwaminifu kama obama,,,awe mvumilivu wa maneno kama lyumba...mchapa kazi kama kimei asiwe anasafir safiri ovyo kama rais kikwete...ajiandae kwalolote
Nataka nijue wewe ni HE/SHE maana sijakuelewa mbado.
Aaaaah Mpwa huna kumbukumbu? Huyu ndiye yule aliyekuwa anatafuta mume aliyeachika kama yeye! Mali used hiyo! Stuka!

aha aha ah wapwa mmestuka?? big senks mna kumbukumbu sana,lol
Aaaaah Mpwa huna kumbukumbu? Huyu ndiye yule aliyekuwa anatafuta mume aliyeachika kama yeye! Mali used hiyo! Stuka!
Iribini afu huyu ndo mi nilijifanya kumpigia chepuo G Porjie aahh!!! nime undo all that I did and said
Mi nahisi ni kama nilitaka kuingia laini hivii; sema ni kama umenitisha na sentensi yako ya mwisho(red bolded)!!!natafuta mchumba jamani awe mwaminifu kama obama,,,awe mvumilivu wa maneno kama lyumba...mchapa kazi kama kimei asiwe anasafir safiri ovyo kama rais kikwete...ajiandae kwalolote
aaaaahhh, hivi binamu ndio huyu??,Iribini afu huyu ndo mi nilijifanya kumpigia chepuo G Porjie aahh!!! nime undo all that I did and said
aaaaahhh, hivi binamu ndio huyu??,
mnnnhh, ila mzuri jamani ana pozi tamu, Loh
natafuta mchumba jamani awe mwaminifu kama obama,,,awe mvumilivu wa maneno kama lyumba...mchapa kazi kama kimei asiwe anasafir safiri ovyo kama rais kikwete...ajiandae kwalolote