nataka nikuPM vipi wewe rangi na urefu kwako sio kigezo?Kwa upande wangu kifupi.
-Jinsia: Mwanaume/ME
-Umri wangu miaka 30.
-Kwa wapenda nyota mimi ni Gemini (17/june)
-Imani:Mwadventista Msabato
-Kazi: Mwajiriwa na ujasiriamali kidogo ndio unaanza.
-Kabila: Mchaga
Upande wa mtafutwaji
-Jinsia: Mwanamke/KE
-Imani: Mwadventista Msabato, au anayeelekea kuwa Mwadventista.
Kabila-lolote ila mpare, msukuma, mchaga will be more considered
-Umri: wowote, ila usivuke 30. Hata hivyo akiwa 24-27 itakuwa safi zaidi.
-Kama ana mtoto 1 sawa.
-Kazi: sio lazima maana kazi zinatafutwa. Ila akiwa mwalimu nitafurahi zaidi.
-Awe mtu mwenye akili ya 'maisha ni popote'. Sio 'Dar oriented mind'.
Karibuni kwenye PM.
BWANA MUNGU IKIWA UMEIONA NIA YANGU YA DHATI, BASI NIPATIE SAWA SAWA NA MAPENZI YAKO.
Huenda una zaidi ya hizo ila hujajua. Na kama kweli akili zenye akili unazo basi
-ukifundishwa unafundishika
-mipango yenye akili itapangika
-utajiheshimu na kuwaheshimu watu wote
-usaliti hutofanya..na mengineyo kibao.
Basi karibu tuone dunia ikizunguka tutakuwa upande gani.
nakutakia kila la kheri ndg yng. Aombae hachoki na akichoka ameshapata. Funga na kuomba inasaidia.. Hapo kwenye kabila na kazi nimeshafelii. Maranatha....
makabila unayoprifaa na kazi hazinigusi kabisaa
sawa sasa nina hofu na kazi na kabila,mimi masai mwanachuo nachukua ukandarasi katika chuo fulani mwaka wa 4.sasa hapo patakuwaje wakati wewe umewapa kipaumbele mpare, msukuma, mchaga will be more considered na tena mwalimu?Sina preference hizo.
sawa sasa nina hofu na kazi na kabila,mimi masai mwanachuo nachukua ukandarasi katika chuo fulani mwaka wa 4.sasa hapo patakuwaje wakati wewe umewapa kipaumbele mpare, msukuma, mchaga will be more considered na tena mwalimu?