Wadau humu jamvini natafuta mchumba mim ni kjana wakiume....natafuta mchumba sibagui dini wala kabla umri miaka 30 had 40...
money stuna mi nasubiria bandiko lako hapa ! nani asiependa proposal na range pembeni kama la p square?mbona ujaweka elimu yako, kipato chako. ,mrefu au mfup?
utapata tu
money stuna mi nasubiria bandiko lako hapa ! nani asiependa proposal na range pembeni kama la p square?
unimention ukiweka kaka!
Range imepitwa na wakati tuliobarikiwa tunaendesha BRABUS na utapata moja lazima mabinti wa bongo movies wakutafute mjenge urafikimoney stuna mi nasubiria bandiko lako hapa ! nani asiependa proposal na range pembeni kama la p square?
unimention ukiweka kaka!