Natafuta mchumba

Hahahaha,jina lake huyu (mtulutumbi) kikwetu ni "mchawi" so ongeza kwenye cv yake
 
Ni Ukweli Si Uongo wana JF. Mimi nina Miaka 30 Mwanaume Kamili..Natafuta Binti wa miaka 23-28.
Lakini ni Lazima Tuanze kama Marafiki kwa muda kadhaa tupate Kuzoeana kwa kila hali

roho yangu inasita!
haya kina dada mwenzetu anatafuta mwenzie.
 
Hahahaha,jina lake huyu (mtulutumbi) kikwetu ni "mchawi" so ongeza kwenye cv yake

Speaker unachezea ukanda wa ban,ingawa nimecheka sana.

GOODLUCK Mtulutumbi, Mungu akupe sawa na haja ya moyo wako.
 
Mmh Funza Dume Unanitisha.. Kazi nafanya Nzuri tu ..Mshahara 1.4,Gari Nimeagiza Kanisani..Kimsingi Mdada Hawezi Kulala Njaa ila na yeye ajishughulishe si 'Leta Nimeze tu'.
 
Una Busara Sana ..Umesha bookiwa?
 
Hahahaha,jina lake huyu (mtulutumbi) kikwetu ni "mchawi" so ongeza kwenye cv yake

Hata Wewe 'wa kwetu' Unanipondea? Atatigha eroho embebhe Mura! Hujui Kuwa hizi 'Name' za Kwenye JF Si Names Halisi! Tena Ungejua nian Roho ya 'Upendwa' Moyoni
 
Mmh Funza Dume Unanitisha.. Kazi nafanya Nzuri tu ..Mshahara 1.4,Gari Nimeagiza Kanisani..Kimsingi Mdada Hawezi Kulala Njaa ila na yeye ajishughulishe si 'Leta Nimeze tu'.

Wasifu wako bado Mtulutumbi!
 
Du waungwana hii staili ya kutafuta mchumba kwangu naiona ni very aukward. Sijui kama itampa matokeo mazuri. Hivi anaishi kwenye vaccum kwa maana haukutani na binadamu wa kike? Samahani kama nimem-offend.
 
sasa mbona hujasema unamtaka wa nini huyo binti mwenye umri huo uliotaja,wa kazi gani?? weka wazi.unataka kumfanya house girl,au kuna movie unatengeneza ili umshirikishe?? au ni wa nini?? au ni wa kuoa? au ni wa kiburudisho? au unatafuta awe dada yako wa hiari.
nifafanulie hapo halafu nikupe msaada zaidi.
 
Ni Ukweli Si Uongo wana JF. Mimi nina Miaka 30 Mwanaume Kamili..Natafuta Binti wa miaka 23-28.
Lakini ni Lazima Tuanze kama Marafiki kwa muda kadhaa tupate Kuzoeana kwa kila hali
Hapo nilipo pakoza kwa kweli mimi pananipa tabu sana, hivi haiwezekani mtu kuingia kwenye ndoa mpaka kwanza muwe marafiki kwa miaka au miezi kadhaa, kwa kisingizio cha kuzoeana... au unamaanisha kwanza mpaka mngonoleane, I mean mpaka muwe marafiki, mfanye na ngono, ikiwezekana mpate watoto ili kujuwa kuwa mke au mume anazo mbegu zenye rutuba... Kisha ndio mtangaze ndoa....!

Mbona wengine tumeingia kwenye ndoa bila ya kupitia hatua hizo na tupo Alhamdulillah zaidi ya miaka 11 kwenye ndoa zenye furaha na amani tele? Vipi wengine washindwe... kulikoni?
 
Nijibu Mama Umebookiwa? Maaana Una Busara sana Wakati Tunapoongelea 'Serious' Issues ..Wanifaa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…