Natafuta mdada anipe kampani ya vacation Nairobi

Nitakuwa na vacation tarehe 19/02/2017 wiki 1 au 2 nahitaji mdada atakayenipa kampani twende wote Nairobi kwa kipindi hicho, nina umri wa miaka 39, 95kgs niko Arusha. Pm kama interested.
am 95 kg too !what a perfect match.carry me i carry you accordingly!
 
mimi nina kg 95 ngoja nifanye colabo hapo
95kg + 95kg = 190kg (uzito wenu)

Tutafute downward force mtayo exert kwenye kitanda: tumia newtons laws

F =ma

F = 190 * 9.81

Force = 1863.9 newtons

Kwa force hiyo...mjiandae kulipa kitanda cha watu mkivunja!! Msije sema hatujawaambia

Tecnichical advice:

You need a bed strong enough to counteract the force you might produce!
 
[emoji2][emoji2][emoji2] nimeikosa hii bahati asee lini tena kuna nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…