Natafuta mdada/mshangazi wakula nae bata daily :: Nothing Serious

Natafuta mdada/mshangazi wakula nae bata daily :: Nothing Serious

TajiriMutoto

Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
86
Reaction score
38
Mtaani wananiita mzee wa Bata a.k.a Tajiri Mutoto, 😎 yani huwa nakulaga bata mpaka kuku anaona wivu ahahah,
wanajamvi, mi ni mtu wa jokes jokes na kula good tym, ila kuna upweke huwa unajitokeza nikiwa nakula bata.

Sasa nimeonelea leo niipost hapa jamvini, tushirikiane kwenye hili. Ngoja nifupishe maelezo, nisikuchoshe na ww usinichoshe.

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 26, kielimu nina Master level, niko serikali nakula hela moja ndefu tu kila mwezi. maendeleo nafanya, kuna mjengo wangu nauendeleza kidogo kidogo, msije fikiri nala bata bila maendeleo.

Kwasasa natafuta mdada/mshangazi wa kuwa nakula nae bata, vigezo:
  • Asiwe kicheche.
    A%20S%20thumbs_down.gif
  • Awe anakunywa pombe, ila sio mlevi.:A S-confused1:
  • Asiwe anavuta sigara.
    A%20S%20thumbs_down.gif
    :mvutaji:
  • Awe na sura nzuri 😛oa
  • Wenye umri mkubwa watapewa vipaumbele zaidi 😛oa
  • Awe na muda wa kula gudtym, asiwe mtu wa kufanya kazi weekend 😛oa
  • Wanene watapewa vipaumbele zaidi 😛oa
  • Asiwe wa mizinga
    A%20S%20thumbs_down.gif

Nawakilisha, niPM wewe mdada tule bata! :msela:
 
mimi mtu wa mizinga sana toa hicho kikwazo na mimi nile bata aisee tajiri
 
Back
Top Bottom