nilifikiri umeenda fiesta?
Taratiiibu Imma unaweza ukawa unapiga 5 ama zaidi lakini ndani ya dakia 10 zote... mwanaume mwingine akapiga 1/2/3 akakufikisha mwanamke hata mara 3, kuwa makini na vipimo vyako.. hapa tatizo sio goli, tatizo ni jinsi gani wafanya.
Ingekuwa hao wanawake unawakuna ipasavo nadhani ni kwamba wangeku ng'ang'ania sio kukukimbia.
Eti nguvu nguvu, kwani watu wapigana mieleka. Hebu jipange kwanza kaka!
Ni ungvu nyingi za kiume ambapo kwa sasa imekuwa tatizo baada kuachwa na wapenzi wanne kwa kutaka kupunguza lakini mimi siwezi mbili,tatu ni kama ndo naanza.
Awe na umbo zuri na mzuri kitandani (mwenye kujituma).
Awe mwenye kupenda sana ku-make love.
Nicheki kwenye
immaboy_2006@yahoo.com
this is very serious please.
Goli tano? Ashakuwa yanga?
Huna lolote labda hata hudisi ila unajipakulia pilau kishenzi hapa jukwaani!!!! Nguvu nyingi siyo kujua mapenzi kabisa, kwanza mpaka hapo unaonekana moja kwa moja hujui lolote zaidi ya vurugu kitandani. Kama nguvu zimekuzidi chukua jembe kalime.
Nguvu kitu cha kuisha,bwana mdogo,goli tano siyo kipimo cha nguvu nyingi,unaweza kupiga zote hizo,lakini ukikutana na watu kama sisi utajiona wewe ni tohashi tu,kwani tunaweza kukupa mfano kwa kukupiga goli moja tu alafu ukaenda kuamkia hospitalini.