Natafuta mdada wa kuoa

Natafuta mdada wa kuoa

KASSON

Senior Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
194
Reaction score
19
Natafuta mdada wa kuoa
Sifa:awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea,sio mnene sana,awe anafanya kazi au Biashara,umri kuanzia miaka 26 hadi 36
Kuhusu mimi:Elimu yangu kidato cha nne +some college's proffesional certificates ,Nimeajiriwa na moja ya kampuni kubwa kabisa ya uwekezaji DSM ,aliye tayari ani inbox plz.
 
Back
Top Bottom