Natafuta mdada wa kuzaa naye

mwamba tafuta mwanamke uowe acha kuja na mambo kama haya kwenye social media ..unatufanya wote tuonekane vilaza......

kama unatamani sana watafute huko mitaani ..humu sidhani kama kunamtu yupo tayari kufanya huu upuuzi
Mwamba anatudhalilisha sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…