natafuta mdada wa weekend hii

Weekend hii nahitaji mdada wa kuspend nae kwa jumamosi na jumapili umri si kigezo na urembo si ishu... Kwa alie mpweke na serious anipm


Huna hata haja ya kuomba huku ukifika tu kunakoitwa (wekeend) utawapata wamejaa milangoni wakiwasubiri.
 
Ulaaniwe kuwaharibu watoto wa wenzako. Mtoto wa mwenzio ni wako, dada wa mwenzio ni dada yako. Mama salma Kikwete alitwambia.

Embu kuwa na kauli za kishujaa wewe aliekwambia dada wa mwenzio dada yako nani
 
daaah hii kali sana lakini kama wahitaji msichana yeyote makahaba wapo wengi sana ela yako tu kwakuwa hukutaja sifa.
 
Mkuu nashkuru ila nataka wa kuwa nae bennet yani wawili tu weekend nzima si unajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…