Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,075 Oct 7, 2011 #41 maishapopote said: Popote pale wanapotumia dola mkuu Click to expand... hapo umenimaliza Mkuu maana huku kwetu keko toroli tukiona dola tunadhani ni karatasi za kufungia mandazi,du!
maishapopote said: Popote pale wanapotumia dola mkuu Click to expand... hapo umenimaliza Mkuu maana huku kwetu keko toroli tukiona dola tunadhani ni karatasi za kufungia mandazi,du!
Laigwanan76 JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 551 Reaction score 153 Oct 7, 2011 #42 ngwini said: hakuna k2 kinaitwa balance sheet statement Click to expand... Hizi lugha za taaluma za watu zinahitaji umakini sana kuzitumia,unaweza ukataja kitu kisicho na maana kabisa au hakipo
ngwini said: hakuna k2 kinaitwa balance sheet statement Click to expand... Hizi lugha za taaluma za watu zinahitaji umakini sana kuzitumia,unaweza ukataja kitu kisicho na maana kabisa au hakipo
maishapopote JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 3,408 Reaction score 6,094 Oct 10, 2011 Thread starter #43 Bishanga said: hapo umenimaliza Mkuu maana huku kwetu keko toroli tukiona dola tunadhani ni karatasi za kufungia mandazi,du! Click to expand... hahaha mkuu huko dawa yenu noti mpya feki...
Bishanga said: hapo umenimaliza Mkuu maana huku kwetu keko toroli tukiona dola tunadhani ni karatasi za kufungia mandazi,du! Click to expand... hahaha mkuu huko dawa yenu noti mpya feki...