Natafuta mdau shupavu tushirikiane katika kuendesha biashara

Natafuta mdau shupavu tushirikiane katika kuendesha biashara

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Habari wakuu.
Natafuta mdau tushirikiane kazi ya usambazaji wa software kwa wateja wangu.
Sifa
1.Awe amemaliza kuanzia kidato cha nne
2.Awe mchapa kazi
3.Elimu ya book keeping ni sifa ya ziada
Mshahara mzuri utaendana na anavyojituma(commision based)
Simu: 0713-039875
0784-976570
 
Kusambaza software? How, elezea kidogo mkuu
 
Back
Top Bottom