Habari wakuu.
Natafuta mdau tushirikiane kazi ya usambazaji wa software kwa wateja wangu.
Sifa
1.Awe amemaliza kuanzia kidato cha nne
2.Awe mchapa kazi
3.Elimu ya book keeping ni sifa ya ziada
Mshahara mzuri utaendana na anavyojituma(commision based)
Simu: 0713-039875
0784-976570