Mi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nina certficate ya planing management natafu mdhamini katika biashara ya uuzaji wa vyakula aina zote,nataaluma ya kupika vyakula aina yote na nina uwezo wa maketing. mdhamin atapata robo tatu ya faida inayopatikana kwa mujibu wa mkataba tutakao andikiana kwa mawasiliano zaid 0692014483