Natafuta mdhamini kwa mkataba maalum

Hongera na pole. Ushauri wangu kwako na kwa wapambanaji wengine ni huu hapa;

Ni vizuri kuanza na mradi mmoja kwanza/miradi michache. Haya mambo ya kuanzisha miradi 10 kwa wakati mmoja, kisa tu ulipata hela za mkupuo! Madhara yake ndiyo haya sasa. Hakuna hata mradi mmoja uliokamilika, na hela yote imekwisha.
 
Unafikiria bank wanatoa tu mkopo kisa una boma wamestuka nao siku hizi
 
Mentality za losers hizi... Mfanyabiashara unaogopa kukopa bank🤣🤣🤣 eti ili usiwe stressed na upate ladha ya chakula WTF
 
Kuhusu mradi upi wa kuanza nao nimelitolea ufafanuzi ndani ya post nyingine mkuu
 
Hongera sana mkuu! Nimeguswa na mipango yako iliyotukuka pia nahitaji kuungana na wewe katila swala la shule na swala la kufunga mashine ya kukamua mafuta. Nitakutafuta ili tujue tunafanyeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…