VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
who is going to sponsor a person whose english is "im find sponsor"...ha!!!!!!!!
Mkuu jaribu kutembelea taasisi zipo zinazosomesha watu; mfano World Vision..,
Alafu upo kwenye grade gani Secondary; Primary au High School..., sababu ninajua watu wanajisomesha kwa kupiga debe part time au kuuza karanga..;
Vile vile am sure kama ukienda kwenye taasisi za dini unaposali au unaposwali (msikitini au Kanisani) ukaongea vizuri na masheik au mapadre utafanikiwa tu na watakusomesha.., By the way ni kiasi gani unahitaji
Ungana.....english ni lugha tu kama kiswahili,kireno n.k......usimkebei mwenzako kwani kuna mataifa makubwa (eg.China,japan) hiyo english hawaijui....naamini kama umezaliwa tanzania na umetoka familia za kawaida english umejifunzia shule kama mimi...who is going to sponsor a person whose english is "im find sponsor"...ha!!!!!!!!
Naaomba uwe makini na ueleze kwa kina hilo suala lako. Unaposema unaomba ufadhili ili urudi shule haieleweki ni shule ya msingi, sekondari, chuo cha kawaida au chuo kikuu.Hata kiingereza ulichotumia kinatia shaka, bora ungetumia lugha ya kiswahili.
nashukuru wadau wa jukwaa la elimu kwa mchango wenu jamani mimi nilihitimu kidato cha nne 2008 baada ya hapo nikawa nipo mtaani kutokana na matokeo mabaya kwa sasa nimefanya application chuo cha ushirika shinyanga

taja daraja ulilopata form 4,kama ni zaidi ya daraja la 4 point 28.saau kabisaa swala la msaada.maana vijana siku zote mnashauriwa kuwa msome huku mnawaza hari ya kwenu jinsi umasikini ulivyo kithili lakini mkienda shule mnaunda makundi na kujiita mavampire,genster.mababiloni n.k sasa nenda kawaambie mavampire wenzako wakusaidie!
Mkuu umefanya application je umeshapata majibu... ?
Na kiwango kipi kinachotakiwa..?
Na kipindi hiki hakuna shughuli unayofanya ambayo unafanya ambayo unaweza kupata savings za kukusaidia masomo yako ?
Na huko chuoni huwezi ukasoma part time huku unafanya mradi/kazi au biashara ambayo itakusaidia kwenye malipo?
Nadhani hakuna kisichowezekana kama upo determined nina uhakika utafanikiwa
taja daraja ulilopata form 4,kama ni zaidi ya daraja la 4 point 28.saau kabisaa swala la msaada.maana vijana siku zote mnashauriwa kuwa msome huku mnawaza hari ya kwenu jinsi umasikini ulivyo kithili lakini mkienda shule mnaunda makundi na kujiita mavampire,genster.mababiloni n.k sasa nenda kawaambie mavampire wenzako wakusaidie!
Mkuu kushindwa elimu sio kushindwa maisha.., na huenda ameshindwa kwenye theory lakini vitu practical (hence veta ) huenda ikamfaa.., issue ni kwamba kama chuo cha ushirika moshi kimemkubali basi hakuna neno.., pia anaweza kwenda sehemu kama mature student au akaanza na course ya foundation open university..., kujikwaa sio kuanguka mkuu
thanks but tayari nishapata na ada kwa mwaka sh. Laki nane accomodation unajitegemea ndio naenda kuanza certificate
Kwahiyo ni full time (ambayo inaonyesha itakuwa ngumu kufanya kazi yoyote), na umeshapiga hesabu plus accomodation na chakula itakuwa ni kiasi gani kwa mwaka..?
Na unakwenda kusomea nini mkuu ?
pole sana ndugu..sina uwezo ningekusaidi kwa mali lakini nitakusaidia kwa hali..usikate tamaa..